mpatto
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 766
- 1,038
Ahsante sana!Salama kabisa na karibu kwenye uzi
Ahsante sana!Salama kabisa na karibu kwenye uzi
Usiku mwema mamq upumzike maana najua umechoka.Sijui niwasalimie au niwatakie tu usiku mwema
Angalia sana kijana,mtu mzima akishtuka kuwa anaibiwa,kinachofuata ni maafa....Hamna mkuu huwa naumia sana nikiona chozi la mtoto mzuri kisa mapenzi wakati Dr. Love nipo
Acha isonge.wakuu naona mdude unazidi songa
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]REJECTION ARE NOTHING MORE THAN A NECESSARY STEP IN THE PERSUIT OF SUCCESS
Duh!!! Haki ya mola wewe ni jeuri
Amina, asante sana
AsanteNawe pia..
Nakuona unavyomchekeaAmina, asante sana
Usiku mwemaNiwatakie tu usiku mwema
Jamani nimecheka wapi? HahahaNakuona unavyomchekea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HayaTusalimie na utuusikumwema
Ungeishia "amina" basi.Jamani nimecheka wapi? Hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona unataka kunigombanisha lakini na andjul??We mpake mafuta kwa mgongo wa chupa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nataka ushahidi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh we kila sehemu unataka kunikamata