Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nidhamu ni daraja la mafanikio. Fanya kile unachopaswa kufanya, hata kama hujisikii kufanya
Tunawakumbusheni vijana kuishi na watu kwa hekima maana Kiburi na ujeuri vitakufungia milango ambayo samahani yako kamwe haitoweza kuifungua maishani mwako
Kwa kawaida Muda hunyamazisha watu wengi wakiwemo wale waliojiona wao ni Bora kuliko watu wengine