Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mtu akikukosea kuliko kumsema ni afadhali ukamuombea. Jifunze kuto kuhukumu wengine kama ambavyo Mungu haja kuhukumu wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nidhamu ni daraja la mafanikio. Fanya kile unachopaswa kufanya, hata kama hujisikii kufanya
Tunawakumbusheni vijana kuishi na watu kwa hekima maana Kiburi na ujeuri vitakufungia milango ambayo samahani yako kamwe haitoweza kuifungua maishani mwako
Kwa kawaida Muda hunyamazisha watu wengi wakiwemo wale waliojiona wao ni Bora kuliko watu wengine