myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Jifunze kuwatumia Vizuri Watu wenye Wivu mbaya na Mambo yako Ukisha Wajua Vizuri Watumie kama kipimo chako ili Ujue kama Mambo yako yanaenda Sawa au hapana
Roho inataka amani
Moyo unataka Upendo
Akili inataka mafanikio.
Usimtegemee Mtu kuwa chanzo chako cha furaha katika Mahusiano yako Utaumia Utaumia tena na tena Mpaka Utakapo gundua furaha inaanzia kwako Mwenyewe
👍👍Jifunze kuwatumia Vizuri Watu wenye Wivu mbaya na Mambo yako Ukisha Wajua Vizuri Watumie kama kipimo chako ili Ujue kama Mambo yako yanaenda Sawa au hapana
📌📌Usimtegemee Mtu kuwa chanzo chako cha furaha katika Mahusiano yako Utaumia Utaumia tena na tena Mpaka Utakapo gundua furaha inaanzia kwako Mwenyewe
Watu huwa hawabadiliki,chagua mtu sahihi sio utakae mfanya awe sahihi
Mtu bora ni mnyenyekevu katika usemi wake, lakini anazidi katika vitendo vyake
Mtu anae Jitegemea Mwenyewe na akaijua thamani yake haoni Shida kumjibu Mtu kitu chochote kile bila kujali
SawasawaMtu anae Jitegemea Mwenyewe na akaijua thamani yake haoni Shida kumjibu Mtu kitu chochote kile bila kujali
Mambo Mawili Yanaweza Kukutambulisha Ulivyo , Ni Uvimilivu Wako Unapokuwa Huna Chochote , Na Tabia Yako Unapokuwa Na Mafanikio Kwenye Baadhi Ya Vitu
Mtu anae Jitegemea Mwenyewe na akaijua thamani yake haoni Shida kumjibu Mtu kitu chochote kile bila kujali
Mambo Mawili Yanaweza Kukutambulisha Ulivyo , Ni Uvimilivu Wako Unapokuwa Huna Chochote , Na Tabia Yako Unapokuwa Na Mafanikio Kwenye Baadhi Ya Vitu
Ondoka kwenye mahusiano ambayo unaona tena huheshimiwi, husikilizwi na huthaminiwi vinginevyo hayo mahusiano yanaweza kuharibu maisha yako. Ubora wa maisha yako unategemea na Ubora wa mahusiano yako