moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
ππUkishakuwa mvivu, kwa kawaida, unaogopa kufanya kazi wakati wa kazi. Unachagua urahisi βkupumzika wakati ambao hukupaswa kupumzika.
Wakati unaohitaji kupumzika unashindwa kumpumzika vizuri βmawazo yako yanapambana na hatia ya kutokufanya kazi ambazo ulipaswa kuzifanya.
β οΈβ οΈUkishakuwa mvivu, kwa kawaida, unaogopa kufanya kazi wakati wa kazi. Unachagua urahisi βkupumzika wakati ambao hukupaswa kupumzika.
Wakati unaohitaji kupumzika unashindwa kumpumzika vizuri βmawazo yako yanapambana na hatia ya kutokufanya kazi ambazo ulipaswa kuzifanya.
πππUkishakuwa mvivu, kwa kawaida, unaogopa kufanya kazi wakati wa kazi. Unachagua urahisi βkupumzika wakati ambao hukupaswa kupumzika.
Wakati unaohitaji kupumzika unashindwa kumpumzika vizuri βmawazo yako yanapambana na hatia ya kutokufanya kazi ambazo ulipaswa kuzifanya.
βοΈβοΈβοΈUkishakuwa mvivu, kwa kawaida, unaogopa kufanya kazi wakati wa kazi. Unachagua urahisi βkupumzika wakati ambao hukupaswa kupumzika.
Wakati unaohitaji kupumzika unashindwa kumpumzika vizuri βmawazo yako yanapambana na hatia ya kutokufanya kazi ambazo ulipaswa kuzifanya.
Ukifanikiwa kumtenganisha mtu na msimamo wake, unaweza kupinga vikali msimamo wake na bado ukamheshimu kama rafiki, ukastahi utu wake na kulinda uhuru wake wa kuamua na kusimamia anachokiamini.
β οΈβ οΈHawa wanaopinga mawazo yako hivi sasa, hawa hawa wasioona hoja kwenye hicho unachojaribu kukisema, wanaweza kukuunga mkono na kutetea hoja hizo hizo ukiwa kwenye nafasi inayokupa hadhi na heshima zaidi.
βοΈβοΈβοΈHawa wanaopinga mawazo yako hivi sasa, hawa hawa wasioona hoja kwenye hicho unachojaribu kukisema, wanaweza kukuunga mkono na kutetea hoja hizo hizo ukiwa kwenye nafasi inayokupa hadhi na heshima zaidi.
πππHawa wanaopinga mawazo yako hivi sasa, hawa hawa wasioona hoja kwenye hicho unachojaribu kukisema, wanaweza kukuunga mkono na kutetea hoja hizo hizo ukiwa kwenye nafasi inayokupa hadhi na heshima zaidi.