Kukata tamaa ni moja ya kituo katika safari ya maisha na kujitafuta , ukifika hicho kituo usijute kujiona unakata tamaa wala usipambane kutaka usijisikie hivyo, cha msingi endelea ni sawa kabisa kujiskia vibaya ikiwa mambo yako hayajaa kaa vizuri.endelea na harakati

Hakikisha Watu wanakuheshimu kwasababu ya Uungwana wako na wala sio cheo chako, hakikisha wanakutambua kwa jina lako na sio hadhi ama cheo chako, nyadhifa na vyeo vyote vipo kwa muda tu na Cheo ni dhamana, ila heshima hudumu daima.

Dunia hii ina mateso na shida nyingi sana, umwonapo mwenzako hana kazi ya kufanya usimtazame kama Mzembe, aliyekupa wewe kiti ndie aliyempa yeye kumbi, be humble.