Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kukata tamaa ni moja ya kituo katika safari ya maisha na kujitafuta , ukifika hicho kituo usijute kujiona unakata tamaa wala usipambane kutaka usijisikie hivyo, cha msingi endelea ni sawa kabisa kujiskia vibaya ikiwa mambo yako hayajaa kaa vizuri.endelea na harakati