myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ππUsisahau kuna mstari mwembamba sana kati ya utajiri na watu kukuona Mtukufu, Nidhamu na busara ni utajiri mkubwa kuliko Utajiri wenyewe.
.............kumwomba Mungu.Baada ya kumwomba Mungu kwa kile unachokihitaji, usisahau kumwomba na Nidhamu ya kukitunza hicho alichokupa, mfano utajiri na mwisho hakikisha unamwomba Busara ya kutumia Utajiri aliokupa.
SAHIHI KABISA
ππBaada ya kumwomba Mungu kwa kile unachokihitaji, usisahau kumwomba na Nidhamu ya kukitunza hicho alichokupa, mfano utajiri na mwisho hakikisha unamwomba Busara ya kutumia Utajiri aliokupa.
SAWA..Hatuwezi kuwa bora kwa kuwashusha wengine, hatuwezi kufanikiwa kwa kuwazibia wengine, hatuwezi kuwa na amani kwa kuwakosesha wengine furaha, tusifanye makosa ya kuamini rizki zetu zinazibwa na Mtu mwingine.
Wakati mwingine mtu mmoja unayetaka aanguke ana watu zaidi ya 20 nyuma wanaomtegemea mkate wake, chuki ni mzigo usiubebe.
β βKukata tamaa ni moja ya kituo katika safari ya maisha na kujitafuta , ukifika hicho kituo usijute kujiona unakata tamaa wala usipambane kutaka usijisikie hivyo, cha msingi endelea ni sawa kabisa kujiskia vibaya ikiwa mambo yako hayajaa kaa vizuri.endelea na harakati
Hakikisha Watu wanakuheshimu..Hakikisha Watu wanakuheshimu kwasababu ya Uungwana wako na wala sio cheo chako, hakikisha wanakutambua kwa jina lako na sio hadhi ama cheo chako, nyadhifa na vyeo vyote vipo kwa muda tu na Cheo ni dhamana, ila heshima hudumu daima.
....wanakutambua.Hakikisha Watu wanakuheshimu kwasababu ya Uungwana wako na wala sio cheo chako, hakikisha wanakutambua kwa jina lako na sio hadhi ama cheo chako, nyadhifa na vyeo vyote vipo kwa muda tu na Cheo ni dhamana, ila heshima hudumu daima.
wanakuamini....Watu wakikuona wewe ni muaminifu, wanakuamini na kuwa na imani na wewe, watakupenda, watapenda pia kukufanyia vitu vizuri , kwa hiyo uaminifu ni mtaji tosha huitaji miujiza kufanikiwa
SAWAKuna wakati ukikaa kwa kutulia na kukumbuka uliyopitia mpaka kufika hapo ulipo hakika ni mengi, wapo waliokuvusha na kukupambania kwa dhati wakati wa shida, siku zote atupaswi kuwasahau watu hao