Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatuwezi kuwa bora kwa kuwashusha wengine, hatuwezi kufanikiwa kwa kuwazibia wengine, hatuwezi kuwa na amani kwa kuwakosesha wengine furaha, tusifanye makosa ya kuamini rizki zetu zinazibwa na Mtu mwingine.

Wakati mwingine mtu mmoja unayetaka aanguke ana watu zaidi ya 20 nyuma wanaomtegemea mkate wake, chuki ni mzigo usiubebe.
SAWA..
 
Kukata tamaa ni moja ya kituo katika safari ya maisha na kujitafuta , ukifika hicho kituo usijute kujiona unakata tamaa wala usipambane kutaka usijisikie hivyo, cha msingi endelea ni sawa kabisa kujiskia vibaya ikiwa mambo yako hayajaa kaa vizuri.endelea na harakati
✅ ✅
 
Screenshot_20250306-021043.png
 
Back
Top Bottom