myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawakila mtu amekuja hapa duniani kwa kusudi fulani, lakini pia kila mtu amekuja hapa Duniani na kitu fulani cha kipekee (uniquness) kwa ajili ya kuleta UTOFAUTI.
Ukweli ni kuwa kila mtu amekuja hapa Duniani kwa ajili ya kutimiza safari yake ya maisha!
SawasawaKuna vitu vikienda huwa havirudi nyuma tena , pia kuna vitu vikivunjika haviunganishiki tena Kama vile uaminifu na undugu
📌📌Mwenye fikra chanya huona kisichoonekana, anahisi kisichoonekana, na kufikia kisichowezekana.
Kuna vitu vikienda huwa havirudi nyuma tena , pia kuna vitu vikivunjika haviunganishiki tena Kama vile uaminifu na undugu
...mpole sana, mwaminifu sana..Kamwe USIRUHUSU maoni ya watu wengine yaongoze MATENDO YAKO katika MAISHA. Watu kusema ni kawaida yao na haijalishi kuwa wewe ni mwema, una huruma kiasi gani, mpole sana, mwaminifu sana, na unajishusha chini kiasi gani.
Elewa kuwa WATU wakitaka kusema WATAKUSEMA TU!
Ukiitaji ukuwe kiuwezo inaitaji uwe na subra, uwe kipenzi vya watu japokuwa hutopendwa na wote bali kiasi Cha watu, uwe karibu na watu, kubari unaloambiwa,usikubali kurudi nyuma, toa uvivu, weka malengo, acha mtumizi yasio na msingi, saidia wenzio
Mtu yeyote asikuaminishe kuwa kuna mahali huwezi kufika ilimradi Nia unayo Bidii unayo na Imani kwa Mungu anae wafikisha watu mbali unayo usiruhusu mtu akuwekee mpaka wa mafanikio yako kwani mpaji ni Mungu
✅️✅️✅️Mungu anapotusaidia kufika pale tulikuwa tunatamani kufika, huwa tunaacha kujifunza na kusikiliza, Jambo ambalo hutupelekea kupoteza uelewe muhimu wa kile kinachohitaji katika ngazi tuliyofikia, na kuendelea kudumu katika nafasi hiyo ya mafanikio.
✔️✔️✔️Mungu anapotusaidia kufika pale tulikuwa tunatamani kufika, huwa tunaacha kujifunza na kusikiliza, Jambo ambalo hutupelekea kupoteza uelewe muhimu wa kile kinachohitaji katika ngazi tuliyofikia, na kuendelea kudumu katika nafasi hiyo ya mafanikio.
📌📌Ukiitaji ukuwe kiuwezo inaitaji uwe na subra, uwe kipenzi vya watu japokuwa hutopendwa na wote bali kiasi Cha watu, uwe karibu na watu, kubari unaloambiwa,usikubali kurudi nyuma, toa uvivu, weka malengo, acha mtumizi yasio na msingi, saidia wenzio
SawasawaUkiitaji ukuwe kiuwezo inaitaji uwe na subra, uwe kipenzi vya watu japokuwa hutopendwa na wote bali kiasi Cha watu, uwe karibu na watu, kubari unaloambiwa,usikubali kurudi nyuma, toa uvivu, weka malengo, acha mtumizi yasio na msingi, saidia wenzio
AiseeMtu yeyote asikuaminishe kuwa kuna mahali huwezi kufika ilimradi Nia unayo Bidii unayo na Imani kwa Mungu anae wafikisha watu mbali unayo usiruhusu mtu akuwekee mpaka wa mafanikio yako kwani mpaji ni Mungu
AiseeWaliofariki jana walikuwa na mipango ya asubuhi ya leo. Waliofariki asubuhi ya leo walikuwa na mipango ya usiku wa leo. Usichukulie maisha kwa urahisi kwa kupepesa macho kila kitu kinaweza kubadilika.