myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawakila mtu amekuja hapa duniani kwa kusudi fulani, lakini pia kila mtu amekuja hapa Duniani na kitu fulani cha kipekee (uniquness) kwa ajili ya kuleta UTOFAUTI.
Ukweli ni kuwa kila mtu amekuja hapa Duniani kwa ajili ya kutimiza safari yake ya maisha!