Mawazo yako, maamuzi yako, tabia yako na mienendo ya maisha yako ya kila siku yanaathiriwa na mazingira yanayokuzunguka na watu unaoshinda nao. Hivyo basi ukitaka kubadilika na kuwa mtu mpya badilisha mazingira, badilisha watu unaoshinda nao na namna unavyotazama maisha yako