Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
TAMBUA MBINU ZA KUDHIBITI HASIRA
Kama Binadamu unahaki ya kukasirika endapo utachukizwa, ila chunga utakachokifanya au utakachokizungumza baada ya kukasirika, kumbuka hasira huisha ila matendo utakayoyafanya au maneno utakayoyazungumza yataishi kwenye vichwa vya watu muda wote