myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
βοΈβοΈILI UISHI KWA AMANI NA UTULIVU BASI ZINGATIA MAMBO HAYA
1.Kutokuwa na Tamaa ya kutaka kuwa Bora zaidi ya wengine (kujiona Bora kwa rangi, fedha, cheo, jinsia au nasaba)
ILI UISHI KWA AMANI NA UTULIVU BASI ZINGATIA MAMBO HAYA

Uko sahihiUsiwe mtu wa kutumia chote unachokipata bila ya kuweka Akiba
ππKutokuwa mvivu katika kutafuta, jitume na upambane
Ukipata kidogo usizubae, usisubiri mpaka fedha ziishe ndio urudi tena kutafuta, usilale nenda katafute zaidi ili zije zikusaidie baadae

Usiwe ni mtu wa kukata tamaa, ukikosa leo utapata kesho na kama sio kesho kutwa basi mtondogoo, cha msingi usichoke kupambana KEEP MOVING

βοΈβοΈUsiwe mtu wa kutumia chote unachokipata bila ya kuweka Akiba
Usiwe mtu wa kutoa fedha au kutumia fedha ili uwafurahishe watu wengine, Aidha unatoa au unatumia ili usifiwe au usisemwe
βοΈβοΈUsiwe mtu wa matumizi makubwa zaidi ya unachokipata
Usiige matumizi na matanuzi, angalia kipato chako na maisha yako na sio wengine wanafanya nini na wewe ufanye

ππUsiwe mtu wa matumizi makubwa zaidi ya unachokipata