myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️✅️Unaweza ukaibuliwa na mitandao, mitandao ikakupaisha, ukawa maarufu sana. Usipojifunza kumudu mafanikio, utashuka na kupotea kabisa. Mitandao inaibua ila haiendelezi. Watu wa mitandaoni wanamihemko, wanakupenda leo kesho washakuchoka. Unahitaji zaidi ya kipaji
✅️✅️✅️Unapoitambua thamani yako namna unavyo fanya maamuzi inabadilika, kuitafuta furaha yako kunabadilika na maisha yako yanakuwa rahisi zaidi. Self-worth is key
✔️✔️Ukiona unakosa hamasa na motisha mara kwa mara ni alama kwamba unafanya ambacho hukuitiwa kukifanya hapa duniani. Unafanya kisicho wito wako. You are out of your divine purpose. Ngumu sana kuwa na furaha kwa hali hii
📌📌📌Unaweza ukaibuliwa na mitandao, mitandao ikakupaisha, ukawa maarufu sana. Usipojifunza kumudu mafanikio, utashuka na kupotea kabisa. Mitandao inaibua ila haiendelezi. Watu wa mitandaoni wanamihemko, wanakupenda leo kesho washakuchoka. Unahitaji zaidi ya kipaji
✅️✅️✅️Utakuja kugundua kuwa hofu zako nyingi huwa zinatishia hisia zako tu, hazitishii maisha yako. Your fears are not physical but imaginary. Ukiziendekeza hisia zako hupigi hatua
✔️✔️✔️Unaweza ukaibuliwa na mitandao, mitandao ikakupaisha, ukawa maarufu sana. Usipojifunza kumudu mafanikio, utashuka na kupotea kabisa. Mitandao inaibua ila haiendelezi. Watu wa mitandaoni wanamihemko, wanakupenda leo kesho washakuchoka. Unahitaji zaidi ya kipaji
Kuwa makini sana kwenye mahusiano yako na watu unapo panda juu kimafanikio. Huijui kesho. Muda unaweza kuja kukuumbua
Hili nakubalianaHofu na woga kuhusu kesho yako havitokusaidia kitu chochote badala yake fanya kitu leo kuibadilisha kesho yako
Sahihi kabisaHisia ni hisia tu. Hisia sio wewe na wewe sio hisia. Hisia sio halisi kwahiyo ukiamua unaweza kuzicontrol. Usishikamane na hisia, husuani kama ni hisia hasi. Ziruhusu ziende. Ni uamuzi wako
✅️✅️Kwenye maisha unaweza ukawa na kilakitu, pesa, magari, majumba, viwanja, mashamba, nafasi na umaarufu. Lakini ukikosea kuchagua mtu sahihi wa kumwita mpenzi au mwenza, hivyo vyote vitakosa maana na utaondoka vibaya kulio asiyekuwa navyo
👍👍👍Hisia ni hisia tu. Hisia sio wewe na wewe sio hisia. Hisia sio halisi kwahiyo ukiamua unaweza kuzicontrol. Usishikamane na hisia, husuani kama ni hisia hasi. Ziruhusu ziende. Ni uamuzi wako
✅️✅️✅️Kwenye maisha unaweza ukawa na kilakitu, pesa, magari, majumba, viwanja, mashamba, nafasi na umaarufu. Lakini ukikosea kuchagua mtu sahihi wa kumwita mpenzi au mwenza, hivyo vyote vitakosa maana na utaondoka vibaya kulio asiyekuwa navyo
📌📌📌Kwenye maisha ni sawa kabisa kukubali kwamba maisha ni magumu lakini ni njema zaidi kuamini na kukiri kwamba pamoja na ugumu wake lakini nitayamudu. The power of positive thinking
✔️✔️✔️Ukiruhusu matatizo yawe sehemu ya maisha yako, yatakupeleka kaburini na maisha yataendelea kama vile hukuwahi kuwepo. Amua kuyanyoosha maisha yako. Inaanzia kwenye akili na maamuzi kwanza
✅️✅️✅️Kwenye maisha ni sawa kabisa kukubali kwamba maisha ni magumu lakini ni njema zaidi kuamini na kukiri kwamba pamoja na ugumu wake lakini nitayamudu. The power of positive thinking
Ukiruhusu matatizo yawe sehemu ya maisha yako, yatakupeleka kaburini na maisha yataendelea kama vile hukuwahi kuwepo. Amua kuyanyoosha maisha yako. Inaanzia kwenye akili na maamuzi kwanza
👍👍Ukiruhusu matatizo yawe sehemu ya maisha yako, yatakupeleka kaburini na maisha yataendelea kama vile hukuwahi kuwepo. Amua kuyanyoosha maisha yako. Inaanzia kwenye akili na maamuzi kwanza
📌📌📌Ukiruhusu matatizo yawe sehemu ya maisha yako, yatakupeleka kaburini na maisha yataendelea kama vile hukuwahi kuwepo. Amua kuyanyoosha maisha yako. Inaanzia kwenye akili na maamuzi kwanza
NAKUBALIANA NA UJUMBEJipende sana mpaka usiruhusu mtu mwingine yeyote a control furaha yako, afya yako na muonekano wako. Jipende uwe huru mbali na utumwa wa kihisia na kiakili. Self care is key
📌📌📌Kwenye maisha kuna makosa ambayo ukiyafanya unaweza kujutia, ukajirekebisha na kuendelea na maisha. Kuna makosa mengine ukisha yafanya utajutia, utajirekebisha ila madhara yake huwezi kuyabadili kamwe na maisha hayatokuwa kama yalivyokuwa mwanzo. Kuwa makini sana