myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️✅️Unaweza ukaibuliwa na mitandao, mitandao ikakupaisha, ukawa maarufu sana. Usipojifunza kumudu mafanikio, utashuka na kupotea kabisa. Mitandao inaibua ila haiendelezi. Watu wa mitandaoni wanamihemko, wanakupenda leo kesho washakuchoka. Unahitaji zaidi ya kipaji