myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ππUkiambiwa ubaya wa mtu, tafuta na wema wake hakuna mzinga unaobeba nyuki tu bila asali ndani yake.
β οΈβ οΈJitahidi sanaa kwenye Maisha yako ziwepo kurasa ambazo familia ako watazisoma kwa furaha Tena kwa sauti kubwa ila wabaya wataishia kutamani kuzichana zisionekane
Jitahidi sanaa kwenye Maisha yako ziwepo kurasa ambazo familia ako watazisoma kwa furaha Tena kwa sauti kubwa ila wabaya wataishia kutamani kuzichana zisionekane
ππUkiendelea Kuwafurahisha Watu Kwa Kuogopa Kuwapoteza Basi Ipo Siku Utajipoteza Wewe Mwenyewe
Ukiendelea Kuwafurahisha Watu Kwa Kuogopa Kuwapoteza Basi Ipo Siku Utajipoteza Wewe Mwenyewe

βοΈβοΈHakikisha unaenda nao na wanaoenda pamoja na wewe
β οΈβ οΈHakikisha ibada yako inaendana na matendo ili kupunguza usumbufu kwa malaika mlinzi wako
Historia ya nyuma haiwezi kubadilika ila unaweza kuanza kuandika historia mpya na nzuri kwanzia sasa.

Hawakutujua kiundani wala hawakuhitaji chochote kutoka kwetu lakini waliposikia changamoto zetu hawakujiuliza mara mbili bali walivutwa kutusaidia.Amini nakuambia watu wema hawana kipengele labda kipengele uwe nacho wewe.
Adui mbaya hana huruma, husambaza chuki na hufurahia maumivu ya wengine. Hupanga hila, husaliti na hawezi kuaminika. Kumuepuka ni hekima

Mtu aliyefanikiwa ni yule aliyeweza kuitawala pesa.Unaweza jipima kwa kile ulichonacho,je kinakufanya kuishi maisha gani? % kubwa ya watu ni watumwa wa pesa.Amani maishani kwako itakuepo utakapoweza kuitawala fedha mana fedha ni chanzo cha mambo mengi sana.
βοΈβοΈMtu aliyefanikiwa ni yule aliyeweza kuitawala pesa.Unaweza jipima kwa kile ulichonacho,je kinakufanya kuishi maisha gani? % kubwa ya watu ni watumwa wa pesa.Amani maishani kwako itakuepo utakapoweza kuitawala fedha mana fedha ni chanzo cha mambo mengi sana.