myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Mtu aliyefanikiwa ni yule aliyeweza kuitawala pesa.Unaweza jipima kwa kile ulichonacho,je kinakufanya kuishi maisha gani? % kubwa ya watu ni watumwa wa pesa.Amani maishani kwako itakuepo utakapoweza kuitawala fedha mana fedha ni chanzo cha mambo mengi sana.
📌📌📌Kanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
Watu wana watu wao ila haitunyimi nafasi ya kuwa karibu nao tunachokifuata kwao ni kile kimejificha ndani yao ambacho watu wao hawakioni ila sisi tumekiona Upendo ndio kitu pekee tunaishi nacho na ndio hicho tuliagizwa tukizingatie

Mara nyingi mambo yasiyo ya msingi na yasiyo na tija kwetu yanafanikiwa kutushughulisha zaidi kuliko mambo ya msingi na ndio maana tunachelewa kufikia ndoto zetu

Nyakati ngumu zinaweza kukupitia kwa muda mrefu sana unachopaswa kufanya usikate tamaa ya maisha
Kanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
✅️✅️Maisha ya mtu huharibiwa na mtu punguza visasi, ili usije ukaja omba msamaha kwa MAITI
Kwenye vita dhidi ya kuwa mfalme chukua hatua kwanza usiwaze matokeo yatakuwaje manake atakae shindwa ndo atapotea milele na mshindi ndo atatawala milele.

✅️✅️✅️Utamu wa nanasi ghafla huwa mchungu mara tuu baada ya maji kuwekwa kinywani,,,,,,
kosa moja lisiharibu mfumo mzma wa maisha yakoo Kukosea kwako ndiko kujifunzaa,,,
usiruhusu kosa dogo likaharibu malengo yako..
Adui mbaya hana huruma, husambaza chuki na hufurahia maumivu ya wengine. Hupanga hila, husaliti na hawezi kuaminika. Kumuepuka ni hekima.

Utamu wa nanasi ghafla huwa mchungu mara tuu baada ya maji kuwekwa kinywani,,,,,,
kosa moja lisiharibu mfumo mzma wa maisha yakoo Kukosea kwako ndiko kujifunzaa,,,
usiruhusu kosa dogo likaharibu malengo yako..
Utamu wa nanasi ghafla huwa mchungu mara tuu baada ya maji kuwekwa kinywani,,,,,,
kosa moja lisiharibu mfumo mzma wa maisha yakoo Kukosea kwako ndiko kujifunzaa,,,
usiruhusu kosa dogo likaharibu malengo yako..
Tunaanza kwa kuzaliwa tunamaliza kwa kufa Katikati ya KUZALIWA na KUFA kuna kitu kinaitwa MAISHA.
Jitahidi kufurahi muda wako unapokuwa katikati ya kuzaliwa na kufa