myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
NAKUBALI
Mtu aliyefanikiwa ni yule aliyeweza kuitawala pesa.Unaweza jipima kwa kile ulichonacho,je kinakufanya kuishi maisha gani? % kubwa ya watu ni watumwa wa pesa.Amani maishani kwako itakuepo utakapoweza kuitawala fedha mana fedha ni chanzo cha mambo mengi sana.