myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Kuwa makini na watu hawa Katika maisha yako
1. Usikae na watu wanaokudharau.
2. Usikae na watu ambao hawathamini utu wako
3. Usikae na watu ambao malengo yao ni kwa faida yao tu
4. Usikae na watu ambao hawataki kusherehekea hatua zako ndogo za maendeleo.
5. Wasengenyaji

Unaweza kuchagua kuona ubaya kwenye kila kitu kwenye maisha.
2. Unaweza kuchagua kuona uzuri kwenye kila kitu kwenye maisha.
3. Unaweza kuamua kuona uzuri na ubaya kwenye maisha.
Chochote utakachochagua kina mchango kwenye kufanikiwa na kufeli kwako
βοΈβοΈUnaweza kuchagua kuona ubaya kwenye kila kitu kwenye maisha.