myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️✔️
Nafsi bora maishani ni zile ambazo baada ya ku survive kwenye moto, hurudi na maji kuokoa wengine..
Baada ya kufika safari yake, hutengeneza njia na wengine wapite.
Mafanikio ni kuyashinda majaribu yako, na kuwapa wengine sababu ya kushinda changamoto zao.