myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️✔️Kuvumilia ni kufanya jitihada bila kuchoka pasipo kuangalia matokeo ya haraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✔️✔️✔️Kuvumilia ni kufanya jitihada bila kuchoka pasipo kuangalia matokeo ya haraka.
📌📌📌Kuvumilia ni kufanya jitihada bila kuchoka pasipo kuangalia matokeo ya haraka.
Vumilia kuachana na marafiki wasio na maono ambao muda mwingi mnautumia kuongelea watu na matukio.
SawaUtapata mambo mengi mazuri ukiwa mvumilivu.
NakubalianaAnza Leo kuamua kuvumilia kujinyima na kuweka akiba.
NAVUMILIA..Vumilia kutumia muda wako mwingi kwenye mambo yanayoongeza thamani ya maisha yako.
NAANZA MAPEMAAnza Leo kuamua kuvumilia kujinyima na kuweka akiba.
✅️✅️✅️Uvumilivu utakupa uzoefu wa kutosha
Uvumilivu unaweza kukufanya ukatengeneza jina ambalo Hadi vitukuu watanufaika nalo.
✔️✔️✔️Uvumilivu unaweza kukufanya ukatengeneza jina ambalo Hadi vitukuu watanufaika nalo.
👍👍👍Uvumilivu unaweza kukufanya upandishwe cheo.
✔️✔️✔️Uvumilivu unaweza kukufanya upandishwe cheo.
✅️✅️✅️Uvumilivu unaweza kukufanya upandishwe cheo.
✅️✅️Uvumilivu utakupa uzoefu wa kutosha
Uko sahihiUvumilivu unaweza kukufanya uheshimike kwa kukamilisha maono makubwa ambayo kwa wengine ni vitu visivyowezekana.
SawaKuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine
📌📌📌Kuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine
Uvumilivu unaweza kukuwezesha kutengeneza malengo ya miaka zaidi ya ishirini na yakatimia.
✔️✔️Uvumilivu unaweza kukuwezesha kutengeneza malengo ya miaka zaidi ya ishirini na yakatimia.