myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawaUvumilivu unaweza kukuwezesha kutengeneza malengo ya miaka zaidi ya ishirini na yakatimia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaUvumilivu unaweza kukuwezesha kutengeneza malengo ya miaka zaidi ya ishirini na yakatimia.
👍👍Kuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine
Uko sawaUvumilivu unaweza kukufanya ukaweka akiba kwa zaidi ya miaka 10, na maisha yako yakabadilika
Uko sahihiMaisha ni bundle unaishi kwa kulipunguza si kibubu kwamba unaishi kwa kuongeza. Ukishazaliwa, siku zako za kuishi haziongezeki tena bali zinapungua kutoka kwenye jumla ya siku zako za kuishi duniani. Kesho si nyongeza bali ni makato. Usihesabu zimebaki ngapi bali zimepungua ngapi
SawasawaMoja ya kipimo cha utu uzima ni uwezo wa kuvumilia aibu ya leo ili kuepuka fedheha ya kesho."
SawasawaMaisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!
Nakubaliana na weweMaisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"
Sawa na hili piaMaisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!
Sawa, yetu masikio
Kuna mantiki hapo
Mambo ni mengi mno
Mbona ukiandika post yako inajirudia mara nyingi