myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Nafsi bora maishani ni zile ambazo baada ya ku survive kwenye moto, hurudi na maji kuokoa wengine..
Baada ya kufika safari yake, hutengeneza njia na wengine wapite.
Mafanikio ni kuyashinda majaribu yako, na kuwapa wengine sababu ya kushinda changamoto zao.
Daima thamini na heshimu uwepo wa watu wema kwenye maisha yako, Usidharau nguvu ya watu wema na nia njema.
Maisha yako yanakuwa ya thamani zaidi unapozungukwa na vyote viwili.
SawasawaDaima thamini na heshimu uwepo wa watu wema kwenye maisha yaki, Usidharau nguvu ya watu wema na nia njema.
Maisha yako yanakuwa ya thamani zaidi unapozungukwa na vyote viwili.
📌📌Daima thamini na heshimu uwepo wa watu wema kwenye maisha yaki, Usidharau nguvu ya watu wema na nia njema.
Maisha yako yanakuwa ya thamani zaidi unapozungukwa na vyote viwili.
👍👍👍Daima thamini na heshimu uwepo wa watu wema kwenye maisha yaki, Usidharau nguvu ya watu wema na nia njema.
Maisha yako yanakuwa ya thamani zaidi unapozungukwa na vyote viwili.
✅️✅️Ubora wa maisha yako utategemea na ubora wa malengo yako, kukaa kwako, kua na mahusiano imara, kua karibu na Mungu, kua mtu mkweli na mwaminifu, kujiajiri nk, na kipimo cha malengo yako ni matendo yako sio mawazo yako wala note book yako
✔️✔️✔️Ubora wa maisha yako utategemea na ubora wa malengo yako, kukaa kwako, kua na mahusiano imara, kua karibu na Mungu, kua mtu mkweli na mwaminifu, kujiajiri nk, na kipimo cha malengo yako ni matendo yako sio mawazo yako wala note book yako
KweliKila hali maishani ni ya muda tu, Kwa hiyo, maisha yanapokuwa mazuri, hakikisha unayafurahia kikamilifu. Na yanapokuwa magumu usikate tamaa kumbuka kuwa hayataendelea milele siku njema zinakaribia.
👍👍Ubora wa maisha yako utategemea na ubora wa malengo yako, kukaa kwako, kua na mahusiano imara, kua karibu na Mungu, kua mtu mkweli na mwaminifu, kujiajiri nk, na kipimo cha malengo yako ni matendo yako sio mawazo yako wala note book yako
✅️✅️Kila hali maishani ni ya muda tu, Kwa hiyo, maisha yanapokuwa mazuri, hakikisha unayafurahia kikamilifu. Na yanapokuwa magumu usikate tamaa kumbuka kuwa hayataendelea milele siku njema zinakaribia.
✔️✔️Kubali maumivu ya kupunguza marafiki wasio na faida kwenye maisha yako ili kuepusha lawama zisizo za lazima huko mbeleni.
Usitumie muda, nguvu, au akili zako kwa mambo yasiyo na faida! Kila hatua yako inapaswa kuwa na lengo na matokeo. Epuka Kufanya Bila faida
SawasawaNafsi bora maishani ni zile ambazo baada ya ku survive kwenye moto, hurudi na maji kuokoa wengine..
Baada ya kufika safari yake, hutengeneza njia na wengine wapite.
Mafanikio ni kuyashinda majaribu yako, na kuwapa wengine sababu ya kushinda changamoto zao.
Muhimu hiliNafsi bora maishani ni zile ambazo baada ya ku survive kwenye moto, hurudi na maji kuokoa wengine..
Baada ya kufika safari yake, hutengeneza njia na wengine wapite.
Mafanikio ni kuyashinda majaribu yako, na kuwapa wengine sababu ya kushinda changamoto zao.
📌📌📌Nafsi bora maishani ni zile ambazo baada ya ku survive kwenye moto, hurudi na maji kuokoa wengine..
Baada ya kufika safari yake, hutengeneza njia na wengine wapite.
Mafanikio ni kuyashinda majaribu yako, na kuwapa wengine sababu ya kushinda changamoto zao.
NakubalianaKubali maumivu ya kupunguza marafiki wasio na faida kwenye maisha yako ili kuepusha lawama zisizo za lazima huko mbeleni.