Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
AiseeJitenge na watu ambao
1. Wanaosherekea kushindwa kwako
2. Hawakuthamini
3. Wanakutumia kwa maslahi yao
4. Wanakuweka chini na kukudharau
AiseeDunia hii imejaa mambo mengi yanayotokea, lakini tujifunze kuishi na watu vizuri, lakini pia tusimsahau Mungu katika kia hatua.”