Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
AiseeKupingwa na kukosolewa ni vitu ambavyo kamwe huwezi kuvikwepa kwenye maisha. Ni uamuzi wako kuchagua vinapokuja vikujenge na kukuboresha au vikubomoe. You are a captain of your own ship