moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
NakubalianaUkipata nafasi ya kumuomba Mungu muombe vitu hivi; Afya njema, nafasi ya kuiona siku mpya, nafasi ya kupenda au kupendwa na nafasi ya kuwa na amani ya moyo.”
Punguza mawazo amini kwamba Mungu ni mkubwa kuliko matatizo yetu hivyo tusichoke kumuomba kila wakati yeye huwa hachelewi wala hawahi hujibu kwa wakati sahihi.“