Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20250311-220936_Breaking News.png
Screenshot_20250311-221005_Breaking News.png
 
Kuna watu ni daraja la kuivusha riziki kwa wengine na kuna watu ni tuta la kukinga riziki isiwafikie kirahisi wengine. Ukiwa na nafasi ya kumsaidia au kumuinua mtu mmoja tu, msaidie na muinue yule ambaye kwa kuinuka kwake atakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuinua wengine."
✅✅
 
Kila mtu anaweza kuwa tajiri siku moja lakini wachache wanaweza kubakia katika utajiri. Wanaobakia kuwa matajiri ni wale wenye utajiri wa roho, wenye kuinua wengine, wenye utu, wenye nia njema na utajiri wao wa mali na wenye nidhamu ya maisha na hofu ya Mungu."~ Togolani Mavura.
Kila mtu anaweza kuwa tajiri ✔️
 
Back
Top Bottom