myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅Mara nyingi,watu tunaokutana nao kama “AJALI” ndio huishia kuwa watu muhimu zaidi katika maisha yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅Mara nyingi,watu tunaokutana nao kama “AJALI” ndio huishia kuwa watu muhimu zaidi katika maisha yetu.
....madaraka, mali, husda, roho mbaya,havifai..Jiweke mbali na watu ambao wao maisha yao wanajali kuhusu madaraka, mali, husda, roho mbaya, chuki na kejeli. Wakaribishe karibu watu ambao maisha yao wanajali kuhusu utu wa mtu, heshima, roho nzuri na kuridhika.”
..mtu ni utu...Heshima ya mtu ni utu: Heshima inapaswa kutolewa kwa kila mtu bila kujali hali yake. Utu ni msingi wa heshima
AISEE..
Utu ni msingi....Heshima ya mtu ni utu: Heshima inapaswa kutolewa kwa kila mtu bila kujali hali yake. Utu ni msingi wa heshima
📌📌Daima uwe tayari kuishi peke yako. Baadhi ya watu hubadilika ghafla. Leo wewe ni muhimu kwao kesho wewe si kitu kwao na hayo ndiyo maisha halisi.”
✔️✔️Njia bora ya kuishi maisha yenye furaha na amani ni kuwapenda familia yako na wazazi wako.
👍👍👍Njia bora ya kuishi maisha yenye furaha na amani ni kuwapenda familia yako na wazazi wako.
📌📌Njia bora ya kuishi maisha yenye furaha na amani ni kuwapenda familia yako na wazazi wako.
SawasawaDaima uwe tayari kuishi peke yako. Baadhi ya watu hubadilika ghafla. Leo wewe ni muhimu kwao kesho wewe si kitu kwao na hayo ndiyo maisha halisi.”
✅️✅️Ukisikia habari mbaya kumuhusu mtu usikimbilie kuhukumu kwanza, kumbuka kuwa kuna wakati mtu huyohuyo alishawahi kuwa mwema ila habari zake njema hutozisikia.”
NakubalianaUkisikia habari mbaya kumuhusu mtu usikimbilie kuhukumu kwanza, kumbuka kuwa kuna wakati mtu huyohuyo alishawahi kuwa mwema ila habari zake njema hutozisikia.”
📌📌📌Ukisikia habari mbaya kumuhusu mtu usikimbilie kuhukumu kwanza, kumbuka kuwa kuna wakati mtu huyohuyo alishawahi kuwa mwema ila habari zake njema hutozisikia.”
👍👍👍Wakati Unamuomba Mungu Akupe Mafanikio Usisahau Kuomba Akupe Hekima Ya kuishi Na Watu Vizuri kwa Maana Inawezekana Kile Unachokiomba Kipo kwa Watu Unaoishi Nao.”
✔️✔️✔️Wakati Unamuomba Mungu Akupe Mafanikio Usisahau Kuomba Akupe Hekima Ya kuishi Na Watu Vizuri kwa Maana Inawezekana Kile Unachokiomba Kipo kwa Watu Unaoishi Nao.”
👍👍✔️Daima uwe tayari kuishi peke yako. Baadhi ya watu hubadilika ghafla. Leo wewe ni muhimu kwao kesho wewe si kitu kwao na hayo ndiyo maisha halisi.”
📌📌Kila jambo linatokea maishani mwako lina sababu, epuka kulalamika sana hujui mipango ya Mungu juu yako.”