myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️Wakati Unamuomba Mungu Akupe Mafanikio Usisahau Kuomba Akupe Hekima Ya kuishi Na Watu Vizuri kwa Maana Inawezekana Kile Unachokiomba Kipo kwa Watu Unaoishi Nao.”
👍👍Kwenye maisha hakikisha usiwasahau watu waliokupokea kipindi unahitaji msaada.