Hqhqhahah mzee wa liverMzee wa liver anazunguuuka sana,
Namuona anavyohangaika ku like na kumalizia kuweka AMUN RA.
Nenda kwenye hoja ili kama yatakupata ya kukupata uzoee mapema.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kabonyi
UsijaliUsinisahau kunijuza ili niwe huru
Ma plank
HahahahahUtata ni nini?
Utata wa sentesi ni pale unapo post kwa ujanja wa kumtega mtu kwa nia ovu!
Wakati huo huo swala lako lina makengeza ya pande mbili,
Yaani kujihami ili yakiwepo mashitaka uegemee upande mmoja.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app