Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mshahara sio kila kitu, Kuna watu wanaacha mshahara mzuri tu, Pindi wanapoona Hawapewi heshima na kuthaminiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✔️ ✔️Mshahara sio kila kitu, Kuna watu wanaacha mshahara mzuri tu, Pindi wanapoona Hawapewi heshima na kuthaminiwa.
Mshahara sio kila kitu....Mshahara sio kila kitu, Kuna watu wanaacha mshahara mzuri tu, Pindi wanapoona Hawapewi heshima na kuthaminiwa.
..uhalisia wako............Mawazo yako ndiyo yanayotengeneza uhalisia wako, ukiwa na vitu chanya utavuna vitu chanya zaidi kwenye maisha yako.
Watu wema ni vigumu kuwapata..Usiwaumize au kuwasaliti watu wema katika maisha yako. Watu wema ni vigumu sana kuwapata, ukiwapoteza, Hasara ni yako
SAWASAWA..95% ya nyakati zetu, Tunasamehe watu kwa sababu bado tunawahitaji katika maisha yetu.
...tenda wema.Unaweza kudanganya na watu wasijue unaweza fanya uovu na ukaficha, lakini kitu kimoja huwezi kukificha au kukidanganya ni saikolojia yako, hatia itabaki ndani yako na itakuathiri kisaikolojia siku zote za maisha yako.....tenda wema sema ukweli kwa afya ya saikolojia yako
Usiwaumize watuUsiwaumize au kuwasaliti watu wema katika maisha yako. Watu wema ni vigumu sana kuwapata, ukiwapoteza, Hasara ni yako
Tunasamehe watu ✔️95% ya nyakati zetu, Tunasamehe watu kwa sababu bado tunawahitaji katika maisha yetu.
...usikate tamaa endelea kupambana.Kushindwa sio kinyume cha kufanikiwa, ni moja kati ya hatua za kufikia mafanikio, usikate tamaa endelea kupambana
NAKUBALINA NA HILI..Unaweza kudanganya na watu wasijue unaweza fanya uovu na ukaficha, lakini kitu kimoja huwezi kukificha au kukidanganya ni saikolojia yako, hatia itabaki ndani yako na itakuathiri kisaikolojia siku zote za maisha yako.....tenda wema sema ukweli kwa afya ya saikolojia yako
📌📌Kushindwa sio kinyume cha kufanikiwa, ni moja kati ya hatua za kufikia mafanikio, usikate tamaa endelea kupambana
...unafikiria vyema.Maisha ni series ya machaguo, unachokichagua ndicho utakachoenda kukiishi, hakikisha unafikiria vyema kabla ya kuamua kutenda kitu chochote kile
✅ ✅Mawazo yako ndiyo yanayotengeneza uhalisia wako, ukiwa na vitu chanya utavuna vitu chanya zaidi kwenye maisha yako.
✅✅Watu wanakumbuka zaidi namna unavyowafanya wajisikie kuhusu wewe kuliko maneno unayozungumza, action