Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza kudanganya na watu wasijue unaweza fanya uovu na ukaficha, lakini kitu kimoja huwezi kukificha au kukidanganya ni saikolojia yako, hatia itabaki ndani yako na itakuathiri kisaikolojia siku zote za maisha yako.....tenda wema sema ukweli kwa afya ya saikolojia yako
...tenda wema.
 
NAKUBALINA NA HILI..
 
Back
Top Bottom