Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kuna faida kwenye uvumilivu, Usikate tamaa kwenye kile unachokifanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌📌Wakati mgumu zaidi ni wakati huna mtu wa kumwambia kuwa hauko sawa
📌📌📌Bila neno “Uvumilivu” pengine usingekuwepo hapo ulipo endelea kuvumilia ndiyo maana ya maisha ni hatua
Bila neno “Uvumilivu” pengine usingekuwepo hapo ulipo endelea kuvumilia ndiyo maana ya maisha ni hatua
Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote Amka sasa tuanze upya bila kukata tamaa
Ujuzi ni hazina isiyopotea, kwani unakuinua, unakufungulia milango ya fursa, na kukuwezesha kushinda changamoto za maisha.
Wapo Watu Wanasubiri Taarifa Mbaya Kwenye Maisha Yetu, Mungu Aendelee Kuwasubirisha Milele.
👍📌Wapo Watu Wanasubiri Taarifa Mbaya Kwenye Maisha Yetu, Mungu Aendelee Kuwasubirisha Milele.
Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote Amka sasa tuanze upya bila kukata tamaa
📌📌Uaminifu wako ndio utakaokupatia watu wa kukusogezea fursa
SawaUaminifu wako ndio utakaokupatia watu wa kukusogezea fursa
Sawa hili piaKumzuia mtu kuanguka ni bora zaidi kuliko kumnyanyua akishadondoka