myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Muhimu kujuamaisha haya ni safari yenye milima na mabonde. Yanataka uvumilivu, juhudi, na akili. Wakati mwingine yanaonekana magumu, lakini ukiweka malengo yako wazi na kupambana nayo bila kukata tamaa, utafanikiwa