myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Muhimu kujuamaisha haya ni safari yenye milima na mabonde. Yanataka uvumilivu, juhudi, na akili. Wakati mwingine yanaonekana magumu, lakini ukiweka malengo yako wazi na kupambana nayo bila kukata tamaa, utafanikiwa
Nakubaliana na weweMaumivu Ni Sehemu Ya Safari Ya Maisha.Inaweza Kuwa Ngumu Sasa Lakini Kumbuka Kwamba Kila Uchungu Unakuza Uvumilivu Na Hekima Usikate Tama muamini muumba wako ndo mpangaji wakilakitu.
Ujumbe huu muhimuMaumivu Ni Sehemu Ya Safari Ya Maisha.Inaweza Kuwa Ngumu Sasa Lakini Kumbuka Kwamba Kila Uchungu Unakuza Uvumilivu Na Hekima Usikate Tama muamini muumba wako ndo mpangaji wakilakitu.
Maumivu Ni Sehemu Ya Safari Ya Maisha.Inaweza Kuwa Ngumu Sasa Lakini Kumbuka Kwamba Kila Uchungu Unakuza Uvumilivu Na Hekima Usikate Tama muamini muumba wako ndo mpangaji wakilakitu.
SawaJitihada, uvumilivu, na imani ndio funguo za mafanikio, Usiruhusu vikwazo vikukatishe tamaa kila hatua unayochukua inakusogeza karibu na ndoto zako. Endelea kupambana, ushindi ni wako
πππJitihada, uvumilivu, na imani ndio funguo za mafanikio, Usiruhusu vikwazo vikukatishe tamaa kila hatua unayochukua inakusogeza karibu na ndoto zako. Endelea kupambana, ushindi ni wako
Kweli kabisaUvumilivu sio udhaifu, ni nguvu ya kusubiri kwa hekima. Wakati sahihi ukifika, kila juhudi yako italeta matokeo. Endelea kusimama, hata upepo unapovuma
Mafanikio ni kama kuvunja kokwa la mbuyu. Kwa mara ya kwanza inaweza kuwa gumu, lakini mara ya 2, 3... huvunjika, na ndani yake kuna malhamu tamu ya mafuta. Struggle yako inahitaji nguvu, akili na uvumilivu. Lakini mwisho wake, huleta mafanikio, na furaha. Usikate tamaa.
AiseeMafanikio ni kama kuvunja kokwa la mbuyu. Kwa mara ya kwanza inaweza kuwa gumu, lakini mara ya 2, 3... huvunjika, na ndani yake kuna malhamu tamu ya mafuta. Struggle yako inahitaji nguvu, akili na uvumilivu. Lakini mwisho wake, huleta mafanikio, na furaha. Usikate tamaa.
β οΈβ οΈβ οΈUvumilivu sio udhaifu, ni nguvu ya kusubiri kwa hekima. Wakati sahihi ukifika, kila juhudi yako italeta matokeo. Endelea kusimama, hata upepo unapovuma
Kupanda na kushuka katika maisha,kusifanye ukakata tamaa. Kikubwa ni kuendelea kupambana kwa maana changamoto zote kaumbiwa mwanadamu
ππKwenye kutafuta riziki nidhamu ina umuhimu kuliko elimu
Kumbuka kwamba ni wewe pekee unayeweza kubadilisha mwenendo wa maisha yako,Niwewe pekee unayeweza kupanga na kufanya maamuzi sahihi,Maamuzi niyako mwenyewe hivyo basi hakuna visingizio,Niwakati wako wa maamuzi sahihi
NakubalianaKwenye kutafuta riziki nidhamu ina umuhimu kuliko elimu
β οΈβ οΈβ οΈKuendelea kujionesha kuwa uko sawa wakati unahitaji muda wa kupona na kujipanga upya ni KUJIMALIZA
πππKumbuka kwamba ni wewe pekee unayeweza kubadilisha mwenendo wa maisha yako,Niwewe pekee unayeweza kupanga na kufanya maamuzi sahihi,Maamuzi niyako mwenyewe hivyo basi hakuna visingizio,Niwakati wako wa maamuzi sahihi
βοΈβοΈβοΈKuendelea kujionesha kuwa uko sawa wakati unahitaji muda wa kupona na kujipanga upya ni KUJIMALIZA
πππKupanda na kushuka katika maisha,kusifanye ukakata tamaa. Kikubwa ni kuendelea kupambana kwa maana changamoto zote kaumbiwa mwanadamu
πππKuendelea kujionesha kuwa uko sawa wakati unahitaji muda wa kupona na kujipanga upya ni KUJIMALIZA
βοΈβοΈβοΈKumbuka kwamba ni wewe pekee unayeweza kubadilisha mwenendo wa maisha yako,Niwewe pekee unayeweza kupanga na kufanya maamuzi sahihi,Maamuzi niyako mwenyewe hivyo basi hakuna visingizio,Niwakati wako wa maamuzi sahihi