myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ππUsilazimishe kuwa mzuri bali kuwa mkweli kwani kwenye ukweli kuna uzuri wa kutosha ndani yake.
UVUMILIVUUvumilivu haufanyi Mambo kuwa rahisi Bali hufanya Mambo kuwezekana
UVUMILIVU MUHIMUUvumilivu haufanyi Mambo kuwa rahisi Bali hufanya Mambo kuwezekana
Ujumbe huu muhimuBasi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni
βͺοΈ Moyo wa rehema
βͺοΈ Utu wema
βͺοΈ Unyenyekevu
βͺοΈ Upole, uvumilivu
Wakolosai 3:12
Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni
βͺοΈ Moyo wa rehema
βͺοΈ Utu wema
βͺοΈ Unyenyekevu
βͺοΈ Upole, uvumilivu
Wakolosai 3:12
Uvumilivu na imani ni silaha ya mafanikio endelea kupambana kwa kila jambo na utaona matunda
Usikilize hisia zako kwenye maamuzi ambayo yanahitaji akili
βοΈβοΈβοΈUvumilivu na imani ni silaha ya mafanikio endelea kupambana kwa kila jambo na utaona matunda
Usikilize hisia zako kwenye maamuzi ambayo yanahitaji akili
ππKuna faida kwenye uvumilivu, Usikate tamaa kwenye kile unachokifanya
β οΈβ οΈBila neno βUvumilivuβ pengine usingekuwepo hapo ulipo endelea kuvumilia ndiyo maana ya maisha ni hatua
πππKuna faida kwenye uvumilivu, Usikate tamaa kwenye kile unachokifanya