myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍👍Usilazimishe kuwa mzuri bali kuwa mkweli kwani kwenye ukweli kuna uzuri wa kutosha ndani yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍Usilazimishe kuwa mzuri bali kuwa mkweli kwani kwenye ukweli kuna uzuri wa kutosha ndani yake.
UVUMILIVUUvumilivu haufanyi Mambo kuwa rahisi Bali hufanya Mambo kuwezekana
UVUMILIVU MUHIMUUvumilivu haufanyi Mambo kuwa rahisi Bali hufanya Mambo kuwezekana
Ujumbe huu muhimuBasi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni
▪︎ Moyo wa rehema
▪︎ Utu wema
▪︎ Unyenyekevu
▪︎ Upole, uvumilivu
Wakolosai 3:12
Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni
▪︎ Moyo wa rehema
▪︎ Utu wema
▪︎ Unyenyekevu
▪︎ Upole, uvumilivu
Wakolosai 3:12
Uvumilivu na imani ni silaha ya mafanikio endelea kupambana kwa kila jambo na utaona matunda
Usikilize hisia zako kwenye maamuzi ambayo yanahitaji akili
✔️✔️✔️Uvumilivu na imani ni silaha ya mafanikio endelea kupambana kwa kila jambo na utaona matunda
Usikilize hisia zako kwenye maamuzi ambayo yanahitaji akili
👍👍Kuna faida kwenye uvumilivu, Usikate tamaa kwenye kile unachokifanya
✅️✅️Bila neno “Uvumilivu” pengine usingekuwepo hapo ulipo endelea kuvumilia ndiyo maana ya maisha ni hatua
📌📌📌Kuna faida kwenye uvumilivu, Usikate tamaa kwenye kile unachokifanya