[emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu nikumbushe basi shemejiNimesoma ila ukweli anaujua maana kuna mengi tulikuwa tunaongea nyuma ya pazia.
We unadhani wakati ulivyokuwa jikoni sisi tulikuwa tunazungumza nini wakati cole alivyokuja kunitembelea
Alipokwenda kuchuma matunda ya msimu.Aliangukiwa na mti.
Naona hii skendo.Kichwa ni nyuki wa.....[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Una weka karanga hatari nakumbiaSupu haitiwi nazi.
Lakini Mungu anamuona ujue!!!!Azibaye masikio kwa lio la maskini, mungu hatamsikia aliapo kiyamani.
Ifike mpaka Kibiti!Amani
Nani!! Kichwa???Ujumbe huu Kuna mtu inabidi ausome humu
Najua ulichokusudia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] na hapa hatujaanza ku bebishana hadi uombe poo[emoji125] [emoji125] [emoji125]