Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli aisee Maana mm ndugu yako Kila Dakika kumpenda carbamazepine kunaongezeka
Usimuumize tu mkuu maana undugu wangu utavunjika kabisa hapo na utakuwa adui yang wa kudumu.

Mtunze vyema sana.
Nitafarijika sana akiwa happy kila day huko.
Naamini utatenda vyema mkuu
Nakutakia safari njema ndugu yangu.
 
Shida iko wapi ho chi Minh
ISIS she is my Queen the one and only hatujaanzia hapa kwenye likes tumeanza mbali sana there is a secret star between us kwa hiyo usihoji sana utapasuka kichwa kwa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…