cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mwaka jana
Hekima,Mapaji nane
Atapasua kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shida iko wapi ho chi Minh
ISIS she is my Queen the one and only hatujaanzia hapa kwenye likes tumeanza mbali sana there is a secret star between us kwa hiyo usihoji sana utapasuka kichwa kwa kufikiri
Ni kweli tunapima na futi kambaKula maisha mkuu. Wanasema eti ni mafupi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali I won't bring any harm to her nimempa upendo wangu WoteUsimuumize tu mkuu maana undugu wangu utavunjika kabisa hapo na utakuwa adui yang wa kudumu.
Mtunze vyema sana.
Nitafarijika sana akiwa happy kila day huko.
Naamini utatenda vyema mkuu
Nakutakia safari njema ndugu yangu.