Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Fundi seremala akiona mti anaona mbao nzuri za kutengeneza samani na kuuza pale Masika. Ndege wao huona sehemu ya kutengeneza makazi na kutua
✅️✅️Huwa tunakua bize kuwatafuta wengine, tunataka kujua mambo ya wengine yakoje lakini tunasahau sana kutafuta kujua mambo yetu binafsi.
AiseeUkiwa na uwezo au nafasi ya kumsaidia mtu hata katika Jambo dogo, tafadhali fanya hivyo (wengine wametoa msaada kwa malaika).
📌📌Ukiwa na uwezo au nafasi ya kumsaidia mtu hata katika Jambo dogo, tafadhali fanya hivyo (wengine wametoa msaada kwa malaika).
✔️✔️Huwa tunakua bize kuwatafuta wengine, tunataka kujua mambo ya wengine yakoje lakini tunasahau sana kutafuta kujua mambo yetu binafsi.
✅️✅️✅️Hatuwezi kujua matatizo yetu ya ndani kama tusipojitafuta sisi wenyewe.
Tutajua mengi kuhusu sisi wenyewe pale tutakapojitafuta kwa kujifikiria sisi wenyewe.
📌📌📌Hatuwezi kujua matatizo yetu ya ndani kama tusipojitafuta sisi wenyewe.
Tutajua mengi kuhusu sisi wenyewe pale tutakapojitafuta kwa kujifikiria sisi wenyewe.
Hatuwezi kujua matatizo yetu ya ndani kama tusipojitafuta sisi wenyewe.
Tutajua mengi kuhusu sisi wenyewe pale tutakapojitafuta kwa kujifikiria sisi wenyewe.
✔️✔️✔️*Watu wengi wamekosa mwelekeo wa maisha na kujikuta hawajui Nini Cha kufanya kwa sababu hawajitambui wao Ni akina nani, kila linalotokea mbele yao Ni sahihi.