myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
*Watu wengi wamekosa mwelekeo wa maisha na kujikuta hawajui Nini Cha kufanya kwa sababu hawajitambui wao Ni akina nani, kila linalotokea mbele yao Ni sahihi.
*Watu wengi wamekosa mwelekeo wa maisha na kujikuta hawajui Nini Cha kufanya kwa sababu hawajitambui wao Ni akina nani, kila linalotokea mbele yao Ni sahihi.
Matatizo yana suluhisho.
Matatizo ni ishara ya uhai.
Matatizo ni ishara ya uhai.
👍👍Matatizo Ni ijumaa kuu inayotangulia jumapili ya pasaka.
SawasawaMatatizo yana suluhisho.
Matatizo Ni ijumaa kuu inayotangulia jumapili ya pasaka.
Ni kweliMatatizo Ni ijumaa kuu inayotangulia jumapili ya pasaka.
Uko sawaMatatizo Ni Kinga.
Pia SawasawaMatatizo Ni Kinga.
✔️✔️Kwenye maisha yako usiangalie yale Mambo au vitu ambavyo huna bali angalia uliyonayo. Mara nyingi tunalalamikia 20% na tunaacha kuona 80%. Hesabu baraka zako na sio balaa zako.
Daima kumbuka, mwishoni kila kitu kitakuwa sawa. Kama hakijawa sawa, huo sio mwisho endelea kupambana.
Daima kumbuka, mwishoni kila kitu kitakuwa sawa. Kama hakijawa sawa, huo sio mwisho endelea kupambana.
SawaDaima kumbuka, mwishoni kila kitu kitakuwa sawa. Kama hakijawa sawa, huo sio mwisho endelea kupambana.
✅️✅️✅️Matatizo Ni kitendawili cha kubarikiwa
Kwenye maisha yako usiangalie yale Mambo au vitu ambavyo huna bali angalia uliyonayo. Mara nyingi tunalalamikia 20% na tunaacha kuona 80%. Hesabu baraka zako na sio balaa zako.
Ujumbe muhimuMatatizo Ni kitendawili cha kubarikiwa
👍👍👍Matatizo Ni kitendawili cha kubarikiwa