myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUnapojisimamia, dunia inakusimamia
SawaUnapojisimamia, dunia inakusimamia
SawaKushindwa ni fursa ya kuanza tena kwa bidii mpya.
Pia muhimuMafanikio ni matokeo ya juhudi na uvumilivu.
SawasawaKila kitu kizuri katika maisha huanza na uamuzi wa kujaribu
Ujumbe muhimuKila kitu kizuri katika maisha huanza na uamuzi wa kujaribu
SawasawaHeshimu busara za wazazi na kuwajali na si kwa Pesa na mali tu bali kujenga mawasiliano mazuri na wazazi, kuwashirikisha pale unapoona inafaa.
SawasawaKuwa na marafiki sahihi kwako wenye kiu ya mafanikio ambao wanaweza kukushauri na pia kukupa changamoto
✔️✔️✔️Heshimu busara za wazazi na kuwajali na si kwa Pesa na mali tu bali kujenga mawasiliano mazuri na wazazi, kuwashirikisha pale unapoona inafaa
✅️✅️Heshimu busara za wazazi na kuwajali na si kwa Pesa na mali tu bali kujenga mawasiliano mazuri na wazazi, kuwashirikisha pale unapoona inafaa
📌📌Kuwa na marafiki sahihi kwako wenye kiu ya mafanikio ambao wanaweza kukushauri na pia kukupa changamoto
Ushirikiano ✔️Jenga ushirikiano na wenzako kwa kupata mawazo mapya yatakayokujenga katika fikra kujua namna kutatua changamoto zako kwa wepesi zaidi
Nidhamu katika matumizi ya muda, Usipende kupoteza muda bure bali panga ratiba zako zenye matumizi sahihi ya muda na ufanye tathmini ya kile ulichokifanya kutokana na muda ulioutumia.
Nidhamu katika matumizi ya muda, Usipende kupoteza muda bure bali panga ratiba zako zenye matumizi sahihi ya muda na ufanye tathmini ya kile ulichokifanya kutokana na muda ulioutumia.
usijifanye mjuaji kwa kila jambo Bali jishushe na wakati mwingine kuwa mjinga ili ujifunze
Nidhamu katika matumizi ya muda, Usipende kupoteza muda bure bali panga ratiba zako zenye matumizi sahihi ya muda na ufanye tathmini ya kile ulichokifanya kutokana na muda ulioutumia.
👍👍heshimu kila mtu kwani binadamu tunaishi kwa kutegemeana
HESHIMAheshimu kila mtu kwani binadamu tunaishi kwa kutegemeana