myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawausijifanye mjuaji kwa kila jambo Bali jishushe na wakati mwingine kuwa mjinga ili ujifunze
MuhimuJenga ushirikiano na wenzako kwa kupata mawazo mapya yatakayokujenga katika fikra kujua namna kutatua changamoto zako kwa wepesi zaidi
SawasawaEpuka kutanguliza tamaa ya mafanikio ya haraka ambayo itakufanya usidumu katika Furaha yenye Amani.
SawasawaJenga ushirikiano na wenzako kwa kupata mawazo mapya yatakayokujenga katika fikra kujua namna kutatua changamoto zako kwa wepesi zaidi