Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Usiwe mtu wa kulalamikia watu wakishindwa kukusaidia,maisha yako ni jukumu lako wewe mwenyewe
SawasawaTusikate tamaa maisha na mapambano ya majukumu ndio darasa lenye kuhitaji uvumilivu na dharau nyingi ili kufika.
SawaOmba sana Mungu asihukumu kama wew unavyowahukumu
Wengine
Kweli kabisaTusikate tamaa maisha na mapambano ya majukumu ndio darasa lenye kuhitaji uvumilivu na dharau nyingi ili kufika.
Dunia itakujaribu mara nyingi lengo ni kuimarika si kuharibikiwa
Nakubaliana na hiliMuda ukifika basi utapata kile ulichostahili usiwaze,usiumie wala kulalamika muamini mungu tu ndie anaetoa kwa kila mtu.
👍👍Muda ukifika basi utapata kile ulichostahili usiwaze,usiumie wala kulalamika muamini mungu tu ndie anaetoa kwa kila mtu.
SawasawaKuelewa ni kazi sana kuliko kujua na ndio maana wengi wanao tujua lakini wachache wanao tu elewa..
Dunia itakujaribu mara nyingi lengo ni kuimarika si kuharibikiwa
✅️✅️Kuelewa ni kazi sana kuliko kujua na ndio maana wengi wanao tujua lakini wachache wanao tu elewa..
✔️✔️Hatuwezi kuona wema wanao utenda kama, kila wanayo yafanya tunachukulia kama ni mashindano.
📌📌Hatuwezi kuona wema wanao utenda kama, kila wanayo yafanya tunachukulia kama ni mashindano.
Ujumbe muhimuHatuwezi kuona wema wanao utenda kama, kila wanayo yafanya tunachukulia kama ni mashindano.