Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaTusikate tamaa maisha na mapambano ya majukumu ndio darasa lenye kuhitaji uvumilivu na dharau nyingi ili kufika.
SawaOmba sana Mungu asihukumu kama wew unavyowahukumu
Wengine
Kweli kabisaTusikate tamaa maisha na mapambano ya majukumu ndio darasa lenye kuhitaji uvumilivu na dharau nyingi ili kufika.
Dunia itakujaribu mara nyingi lengo ni kuimarika si kuharibikiwa
Nakubaliana na hiliMuda ukifika basi utapata kile ulichostahili usiwaze,usiumie wala kulalamika muamini mungu tu ndie anaetoa kwa kila mtu.
ππMuda ukifika basi utapata kile ulichostahili usiwaze,usiumie wala kulalamika muamini mungu tu ndie anaetoa kwa kila mtu.
SawasawaKuelewa ni kazi sana kuliko kujua na ndio maana wengi wanao tujua lakini wachache wanao tu elewa..
Dunia itakujaribu mara nyingi lengo ni kuimarika si kuharibikiwa
β οΈβ οΈKuelewa ni kazi sana kuliko kujua na ndio maana wengi wanao tujua lakini wachache wanao tu elewa..
βοΈβοΈHatuwezi kuona wema wanao utenda kama, kila wanayo yafanya tunachukulia kama ni mashindano.
ππHatuwezi kuona wema wanao utenda kama, kila wanayo yafanya tunachukulia kama ni mashindano.
Ujumbe muhimuHatuwezi kuona wema wanao utenda kama, kila wanayo yafanya tunachukulia kama ni mashindano.