myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muda ukifika basi utapata kile ulichostahili usiwaze,usiumie wala kulalamika muamini mungu tu ndie anaetoa kwa kila mtu.
Unaweza kuamrisha watu wakutukuze lakini kamwe huwezi kuwaamrisha wakuenzi sababu matendo yako ndio yataamua uenziwe au ulaaniwe.

Ni wepesi sana kusimulia machache mabaya waliyoyaona kutoka kwetu, kuliko mazuri mengi waliyojifunza kutoka kwetu.
Ni wepesi sana kusimulia machache mabaya waliyoyaona kutoka kwetu, kuliko mazuri mengi waliyojifunza kutoka kwetu.
Uhalisia wako ndio utakupatia watu sahihi.
Kuna watu ukiwa mbali nao uta watazama kwa mitazamo yako tofauti tofauti hadi siku utakapo wasogelea kwa ukaribu ndipo utaelewa umihimu wa kusoma maudhui na dhamira.
Kuna watu ukiwa mbali nao uta watazama kwa mitazamo yako tofauti tofauti hadi siku utakapo wasogelea kwa ukaribu ndipo utaelewa umihimu wa kusoma maudhui na dhamira.
✔️✔️Ni wepesi sana kusimulia machache mabaya waliyoyaona kutoka kwetu, kuliko mazuri mengi waliyojifunza kutoka kwetu.
Kweli kabisaHatuwezi kupumzika maana bado hatujakitengeneza kivuli Cha kupumzikia
NtahakikishaHakikisha pesa inakupa pesa sio furaha;
NakubalianaHakikisha pesa inakupa pesa sio furaha;
📌📌Hakikisha pesa inakupa pesa sio furaha;
Ujumbe muhimuHatuwezi kupumzika maana bado hatujakitengeneza kivuli Cha kupumzikia
Ni kweli kabisaHasira isi kupelekeshe ukaharibu vitu ambavyo utavihitaji kuvitumia kesho.
✅️✅️Hasira isi kupelekeshe ukaharibu vitu ambavyo utavihitaji kuvitumia kesho.
✔️✔️Kuna muda unatamani kulipa fadhila ila huna cha kuwalipa unabaki kuwaheshimu sana.
✅️✅️✅️Ukitaka kujua ugumu wa Kuishi na mtu ni nyakati ambayo moyo wako umekubali kumchukia