Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukiweza kushinda woga na tamaa za hovyo hovyo katika kutafuta pesa, kilichobaki ni muda tu.Kitu muhimu zaidi baada ya hapo ni maarifa sahihi.Muda ukifika, hakuna kitakachokuzuia, lazima utatoboa.