Ukiangalia vizuri,maisha yetu watu weusi yamejawa na hisia tu na muda mwingi tunatumia huko ya kulia na mapenzi,kuyafurahia, mpira,mziki n.kMuda mwingi tunatumikia hisia,muda kidogo sana tunatumia akili kwa usahihi.Ndio mana wakitaka kutupoteza wanachezea na hisia tu.